LATEST RESOURCES & PUBLICATIONS

Zaidi ya kitu chenye mwanzo hafifu? Kuibuka kwa taasisi jamii kama dhana mpya ya Maendeleo

Makala hii inaanza kuleta matokeo kutoka utafiti wa takwimu za msingi za maombi 50 ya msaada kutoka Mfuko wa Dunia wa Taasisi Jamii.  Makala imetumia taarifa zilizopatikana kutokana na michakato ya kutathmini ruzuku ili kupata uelewa juu ya hali halisi katika eneo hili,  inaweza kuchangia nini dhidi ya mapato na athari, na nadharia tete katika kuendeleza kazi ya namna hii. Makala inapendekeza kwamba  hisani kwa jamii ambazo ni maskini inaweza kuwa na nafasi muhimu katika kutengeneza enzi mpya ya maendeleo.

Waandishi: Jenny Hodgson and Barry Knight

Imechapishwa: 2011

Imechapishwa na: GFCF

Pakua: ‘Zaidi ya kitu chenye mwanzo hafifu? Kuibuka kwa taasisi jamii kama dhana mpya ya Maendeleo

Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
oldest
newest
Inline Feedbacks
View all comments