Zaidi ya kitu chenye mwanzo hafifu? Kuibuka kwa taasisi jamii kama dhana mpya ya Maendeleo
Makala hii inaanza kuleta matokeo kutoka utafiti wa takwimu za msingi za maombi 50 ya msaada kutoka Mfuko wa Dunia wa Taasisi Jamii. Makala imetumia taarifa zilizopatikana kutokana na michakato ya kutathmini ruzuku ili kupata uelewa juu ya hali halisi katika eneo hili, inaweza kuchangia nini dhidi ya mapato na athari, na nadharia tete katika kuendeleza kazi ya namna hii. Makala inapendekeza kwamba hisani kwa jamii ambazo ni maskini inaweza kuwa na nafasi muhimu katika kutengeneza enzi mpya ya maendeleo.
Waandishi: Jenny Hodgson and Barry Knight
Imechapishwa: 2011
Imechapishwa na: GFCF
Pakua: ‘Zaidi ya kitu chenye mwanzo hafifu? Kuibuka kwa taasisi jamii kama dhana mpya ya Maendeleo‘